MALIMWENGU…..
Mapambo ya Njeri usiyapime naya Adhiambo wala ya
Chelagat kwani ya Adhiambo ni ya kuvumiliwa na ya Chelagat ni ya bora niweke tu
ilhali ya Njeri ni stare once but not look twice
Ujinga ni kuwa unagraduate na umebeba mwaks kwa
mfuko!
Marehemu ni maiti iliyovishwa suti
Avaaye minisketi haambiwi kaa skweya
Apendaye nyimbo za reggae hakosi kuvuta bangi au
ukipenda ‘weed’
Mwenye kitambi hakosi kuwa mfisadi tena wa hali ya
juu.
Maana ya neno mama ni kuwa ni mchumba wa baba.
Atembeaye kwa champali hakosi kuwa ni mshamba wa
bara tena mfidhuli.
.Hapa Moi usiseme una mchumba, bibi au hata mke bali
sema nina kirusha roho au stress releaser. Nawe janajike usiseme una chali bali
sema una kichezea roho kwani si wewe pekee.
ONYO; Demu wako akianza kukuita ‘baby’ chunga
pengine kuna mtoto halisi amefunikwa na baada ya nusu mwaka na miezi tatu
atawasili.
Ujinga pamoja na utoto wa mtu hujitokeza anapougua
maradhi ya frakaz.
Babangu ni mzee lakini bado acheza kalongolongo na
hata pia chakacha!
Mbona wan’tusi nina sura mbaya ilhali yako yafanana
na ya maiti.
Mwizi ni mwizi hata hata aende jahanamuni bado
ataiba kiberiti cha huko
Comments
Post a Comment